Kusasisha Firefox na toleo la karibuni
Firefox husahihisha yenyewe lakini unaweza kufanya sasisho mwenyewe. Jifunze jinsi ya kusahihisha Firefox kwa Windows, Mac au Linux.
Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox katika Windows
Makala hii inaelezea jinsi ya kufunga Firefox kwenye Windows.
Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac
Makala hii inaeleza jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac.