Pakia Firefox kwenye iPad yako, iPhone au iPod

Revision Information
  • Revision id: 103236
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: En to Sw
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? La
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Chukua Firefox na wewe kwenye vifaa vya iPad, iPhone iPod. Hapa ni jinsi ya kufunga hiyo.

Firefox inapatikana juu ya vifaa vya iOS 8. Angalia orodha ya vifaa sambamba.
  1. Fungua hifadhi ya programu kwenye kifaa chako na uende kwa ukurasa wa Firefox kwa iOS.
  2. Bomba Get.
  3. Bomba Install.
  4. Ingiza neno-siri lako la Apple ID, kisha bomba OK.

Wakati Firefox imekwisha kupakua, kifungo cha Open itaonekana kwenya ukurasa wa hifadhi ya programu. Ikoni ya Firefox pia itaonekana kwenye skirini yako ya nyumbani.