Pakia Firefox kwenye iPad yako, iPhone au iPod

Habari njema! Firefox kwa iOS sasa inapatikana katika nchi hizi.

Kama nchi yako haijatajwa, kaa macho. Tunafanya kazi kwa bidii ili kuleta Firefox kwa iOS kwa eneo lako. Jisajili kwa orodha ya barua pepe hapa.

Chukua Firefox na wewe kwenye vifaa vya iPad, iPhone iPod. Hapa ni jinsi ya kufunga hiyo.

Firefox inapatikana juu ya vifaa vya iOS 8. Angalia orodha ya vifaa sambamba.
  1. Fungua hifadhi ya programu kwenye kifaa chako na uende kwa ukurasa wa Firefox kwa iOS.
  2. Bomba Get.
  3. Bomba Install.
  4. Ingiza neno-siri lako la Apple ID, kisha bomba OK.

Wakati Firefox imekwisha kupakua, kifungo cha Open itaonekana kwenya ukurasa wa hifadhi ya programu. Ikoni ya Firefox pia itaonekana kwenye skirini yako ya nyumbani.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More