Compare Revisions
Kuongeza muktadha kwa mazungumzo yako ya Firefox Hello
Revision 101546:
Revision 101546 by buluma_michael on
Revision 111243:
Revision 111243 by buluma_michael on
Keywords:
mazungumzo video mada
mazungumzo video mada
Search results summary:
Binafsisha yako mazungumzo ya Firefox Hello kwa kuweka ukurasa wa mtandao kama mada yako.

Maudhui:
{for not fx40}[[Template:fxdesktopbeta]]{/for}
[https://www.mozilla.org/firefox/hello/ Firefox Hello] inakuwezesha kuweka ukurasa wa mtandao kama muktadha kwa ajili ya mazungumzo. Kuna njia mbili za kufanya hivyo:
=Kuweka kichupo wazi kama muktadha=
Kubonyeza kwenye Firefox Hello kifungo moja kwa moja kuweka kichupo yako hai kama mada kwa ajili ya mazungumzo yako.
#Nenda kwa tabo ambayo unataka kujadili.
#Bonyeza kifungo cha Firefox Hello.
#Weka Alama hundi karibu na ''Hebu tuzungumze kuhusu'', kisha bonyeza {button Anza mazungumzo}.
#;[[Image:hello invitation context]]
=Ongeza, hariri au kuondoa muktadha mwenyewe=
Unaweza kuongeza au kubadilisha mada mwenyewe kwa kufuata hatua hizi:
'''Ongeza muktadha:''' bonyeza {button Ongeza baadhi ya muktadha} na ingiza kiungo na maelezo kwa ajili ya ukurasa unataka kujadili.
;[[Image:add context during convo]]<!--L10N experiment: use if you prefer: [[Image:locale-free hello]]-->
'''Kuhariri au kuondoa muktadha yaliyopo:'''
*Hariri muktadha: bonyeza picha ya kalamu inayofuata mada.
*Ondoa muktadha: bonyeza ''x'' karibu na mada.
{for not fx40}[[Template:update fx desktop]]{/for}
[https://www.mozilla.org/firefox/hello/ Firefox Hello] inakuwezesha kuweka ukurasa wa mtandao kama muktadha kwa ajili ya mazungumzo. Kuna njia mbili za kufanya hivyo:
=Kuweka kichupo wazi kama muktadha=
Kubonyeza kwenye Firefox Hello kifungo moja kwa moja kuweka kichupo yako hai kama mada kwa ajili ya mazungumzo yako.
#Nenda kwa tabo ambayo unataka kujadili.
#Bonyeza kifungo cha Firefox Hello.
#Weka Alama hundi karibu na ''Hebu tuzungumze kuhusu'', kisha bonyeza {button Start a Conversation}.