Note: Tafadhali Aasisha toleo lako la Firefox kwa vipengele vya hivi karibuni na sasisho za usalama.
Firefox Hello inakuwezesha kuweka ukurasa wa mtandao kama muktadha kwa ajili ya mazungumzo. Kuna njia mbili za kufanya hivyo:
Kuweka kichupo wazi kama muktadha
Kubonyeza kwenye Firefox Hello kifungo moja kwa moja kuweka kichupo yako hai kama mada kwa ajili ya mazungumzo yako.
- Nenda kwa tabo ambayo unataka kujadili.
- Bonyeza kifungo cha Firefox Hello.
- Weka Alama hundi karibu na Hebu tuzungumze kuhusu, kisha bonyeza
Ongeza, hariri au kuondoa muktadha mwenyewe
Unaweza kuongeza au kubadilisha mada mwenyewe kwa kufuata hatua hizi: Ongeza muktadha: bonyeza
na ingiza kiungo na maelezo kwa ajili ya ukurasa unataka kujadili.Kuhariri au kuondoa muktadha yaliyopo:
- Hariri muktadha: bonyeza picha ya kalamu inayofuata mada.
- Ondoa muktadha: bonyeza x karibu na mada.