Upau wa usogezaji katika Firefox kwa iOS

Firefox for iOS Firefox for iOS Created: 08/27/2015

Baa ya urambazaji inakuwezesha kupitia kurasa za mtandao haraka na kwa urahisi, kwa kuweka vifungo muhimu chini ya skirini:

  • Ya nyuma back ios: kurudi kwa ukurasa uliopita.
  • Ya mbele forward ios: kurudi kutoka ukurasa uliopita.
  • Kunawirisha refresh ios: kuweka upya ukurasa.
  • Kushiriki share button ios: kutuma ukurasa wa mtandao kwa orodha yako ya kusoma au kwa programu nyingine (Ujumbe, Mail au programu nyingine iliyowekwa).
  • Alamisha bookmark ios: hifadhi ukurasa kwa maalamisho yako.

Baa ya urambazaji ilienda wapi?

Kukupa zaidi nafasi kwenye skirini, Firefox huficha urambazaji bar kama kitabu chini ya ukurasa. Kufanya baa ya urambazaji kuonekana tena, songa njia yote hadi juu ya ukurasa:

navigation bar ios

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More