Popcorn Maker ni nini?

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Popcorn Maker husaidia kwa urahisi ku-remix video za mtandao, redio na picha katika mashups unazoweza kupachika kwenye tovuti nyingine. Buruta na kuacha maudhui kutoka kwenye mtandao, kisha ongeza maoni yako mwenyewe na viungo mambo yote hayo yanafanyika ndani ya browser yako. Popcorn Maker video ni za nguvu, imejaa viungo na ya kipekee kwa kila maoni.

Inakuwezesha kuongeza media mbalimbali ikiwa ni pamoja na media kutoka YouTube, Vimeo, SoundCloud, Audiour na HTML5 . Umewahi kujiuliza kwamba kufanya video ingeweza kuwa rahisi?

Huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu kuhifadhi video kwenye mfumo wako. Video yako itawekwa na Mozilla bila malipo. Hivyo pia kuokoa nafasi ya diski

Angalia jinsi Popcorn Maker ni tofauti na vihariri vya video nyinginezo

YUnaweza kujenga:

  • gif animated pamoja na sauti
  • documentary na viungo nguvu
  • profili ya video kujitambulisha kwa dunia
  • na ziadi!

Hapa ni jinsi ya kupata kuanza. Ukiwa vizuri, soma kuhusu baadhi vidokezo na mbinu na mawazo ya kuanzisha.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More