Majibu ya jukwaa - Waliojitolea

Contributors, Firefox Contributors, Firefox Created: 09/01/2015

hujambo,

Watu ambao hujibu maswali hapa, kwa sehemu kubwa, ni watumiaji wengine wa Firefox wanaojitolea muda wao (kama mimi), si wafanyakazi wa Mozilla au watengenezaji wa Firefox.

Kama unataka kuacha maoni kwa watengenezaji wa Firefox, unaweza kwenda Firefox menyu ya Help na kuchagua Submit Feedback... au kutumia kiungo hiki . Maoni yako hukusanywa katika http://input.mozilla.org/, ambapo timu ya watu huiisoma na kukusanya takwimu kuhusu masuala ya kawaida.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More