Majibu ya jukwaa - Utekaji wa mfumo wa utafutaji

Contributors, Firefox Contributors, Firefox Created: 09/26/2015

Inaonekana kama unaprogramu ya chama cha tatu ambayo imechukua jukumu ya injini ya utafutaji wako, ukurasa wa nyumbani, na / au chaguo-msingi tabo ya ukurasa mpya. Kwa bahati nzuri, hii inaweza kurekebishwa kwa urahisi:

  1. Bonyeza kifungo cha menyu New Fx Menu kisha chagua Add-ons.
  2. Katika tabo la Add-ons Manager, chagua paneli ya Extensions.
  3. Chagua toolbar unayotaka kuondoa.
  4. Bofya Ondoa kifungo.
  5. Bonyeza "Restart now" kama itatokea. Tabo zako zitahifadhiwa na kurejeshwa baada ya kuanzisha upya.

Baada ya Firefox kuanza tena, funga Search Reset Tool. Hii add-on itaondoa mabaki ya athari ya mpango huu kutoka kwa Firefox yako na kisha kujiondoa yenyewe.

Kwa taarifa zaidi, tafadhali soma ondoa toolbar ambayo imechukua jukumu la utafutaji wako katika Firefox au ukurasa wa nyumbani..

Je, hii ilirekebisha tatizo? Tafadhali tujulishe!

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More