Majibu ya jukwaa - Kuwezesha Java

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Habari,

Kulinda dhidi ya udhaifu wa Java, Firefox anauliza kuwezesha Java kwa kila tovuti unazotembelea ambazo zinatumia Java. Kama unaamini tovuti, unaweza kuruhusu Java kuendesha kwa kubonyeza ujumbe "Activate Java". Kama hakuna eneo inayoonekana kuwezesha maudhui ya Java katika ukurasa, angalia kwa ikoni ya plugins katika baa ya anwani, basi bonyeza na, katika jopo la ujumbe linalofunguka, chagua "Ruhusu Sasa". Kwa habari zaidi, angalia makala ya Jinsi ya kuruhusu Java katika tovotui zinazoaminiwa.

Je, hii inatatua tatizo lako? Tufahamishe.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More