Majibu ya jukwaa - Kutengeneza jadiliano jipya

Contributors, Firefox Contributors, Firefox Created: 09/26/2015

@[USERNAME HERE]

Kama habari iliyo hapo juu haiwezikutatua suala yako, tafadhali fikiria kujenga jadilioani jipya yenya maelezo maalum ya suala yako.

Kufanya hivyo itaruhusu wajitoleaji wa Mozilla kukupa ufumbuzi ambayo ni ya msaada kwako. Hii inaweza kuwasaidia kutatua tatizo lako kwa kasi na ufanisi zaidi.

Tafadhali, jisikie huru kuchapisha kiungo cha jadiliano jipya kwenye jadiliano hili kwa wajitoleaji walio na nia ya kukusaidia wewe.

Asante.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More