Majibu ya jukwaa - Kuomba habari kuhusu Firefox OS

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Habari,

Asante kwa kuwasiliana na Mozilla. Naelewa kwamba una matatizo na **paraphrase the user's issue**. Ili kuelewa vizuri na kuchunguza suala hili, tafadhali jibu ujumbe huu kwa maelezo yafuatayo:

  • Kielelezo cha simu yako ni nini?
  • Ni toleo lipi la OS linalopatikana katika ukurasa wa taarifa ya kifaa chako? Tafadhali tembelea kiungo hiki ikiwa wahitaji msaada kupata ID ya ujenzi wa simu yako.
  • Tafadhali toa hatua halisi ya kupata suala ulilonalo.
  • Mtoaji huduma wa simu ya mkono wa hivi sasa ni nani?
  • Ni mara ngapi umekutana na suala hili?

Tafadhali kuwa na uhakika wa kupeana maelezo zaidi iwezekanavyo, ikiwa ni pamoja na tovuti yoyote ambayo yanaweza kuonyesha suala hili, na ujumbe wowote wa makosa ambayo unaweza kuwa umepokea, hasa kama zinaonekana. Hii itahakikisha kwamba tutakuwa na habari zote zinazohitajika ili kuchunguza suala hili. Asante kwa msaada wako na tunatazamia na kusikia kutoka kwako!

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More