Majibu ya jukwaa - Ficha Tabo

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Habari,

Katika Firefox 23, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kurahisisha chaguzi za Firefox na kuwezesha maendeleo ya baadaye ya Firefox, chaguo la kuficha baa ya tabo iliondolewa.

Kwa bahati nzuri, hii inaweza kwa urahisi kutatuliwa kama unataka kuendelea kuficha tabo. Unaweza kufunga "Hide tab bar with one tab", kiendelezi iliyopangishwa katika tovuti ya nyongeza za Mozilla, ambayo itakuwa kurejesha uwezo wa kuficha baa ya tabo.

Asante na Natumaini hii husaidia!

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More