Jinsi ya kubadili browser yako ya msingi katika Windows 10

Makala hii inatumika tu kwa Windows 10.
Wakati unapoboresha windows hadi Windows 10, unaweza bila kukusudia kuweka upya browser yako ya msingi kwa Microsoft Edge. Fuata hatua hizi kubadili browser yako ya msingi kurudi Firefox.

  1. Bonyeza kitufe cha menyu The image "new fx menu" does not exist., kisha chagua Chaguzi.
  2. Katika paneli ya Kwa ujumla, bonyenza Kufanya ya msingi.
    default 38
  3. Dirisha la kuweka Mipango ya msingi itafungua.
  4. Chagua Firefox kutoka orodha ya programu upande wa kushoto na bonyeza Weka programu hii kama chaguo-msingi. Kisha bonyeza OK kufunga dirisha.
    Default - Win8 pt 2
  5. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
  1. Bonyeza kifungo cha menu The image "new fx menu" does not exist., kisha chagua Chaguzi.
  2. Katika paneli ya kwa ujumla, bonyeza kifungo weka ya msingi.
    default 38
  3. Programu ya Dirisha la Mazingira itafunguka na skrini ya Chagua programu msingi
  4. Nenda chini na bonyeza kingilio chini ya Web browser. Katika kesi hiyo, ikoni itasema Microsoft Edge au Chagua browser yako ya msingi.
    default apps win10
  5. Katika skrini ya Chagua Programu, bonyeza Firefox kuweka kama kivinjari chaguo msingi.
    firefox default 10
  6. Firefox sasa imeorodheshwa kama browser yako ya msingi. Funga dirisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More