Table of Contents
Mozilla inajali kuhusu faragha na usalama wako kwenye mtandao Sera ya faragha ya Mozilla. Firefox OS inawezesha kuongeza ulinzi kama ifuatavyo:
Nawezaje kuwezesha Do Not Track kwenya simu ya Firefox OS?
Kwa kubonyeza makalala iliyounganishwa hapa chini utajifunza jinsi ya kuwezesha do-not-track kwenye simu ya Firefox OS.
Nawezaje kuwezesha kufuli kwa simu ya Firefox OS
Kwa kubonyeza makalala iliyounganishwa hapa chini utajifunza jinsi ya kuwezesha kufuli kwenye simu ya Firefox OS.
Nitatumiajee PIN ya SIM?
Kwa kubonyeza makalala iliyounganishwa hapa chini utajifunza jinsi ya kutengeza kuwezesha PIN ya SIM kwenye simu ya Firefox OS.
Nawezaje kufuta historia ya kuvinjari na kuki? ya simu ya Firefox Os
Kufuta historia yako ya kuvinjari na kuki katika Firefox OS, ona makala yafuatayo
Futa historia ya kuvinjari na kuki
Je, nawezaje kutumia ikoni ya kufuli katika Firefox OS?
Angalia kwa ikoni ya kufuli katika Firefox kabla ya kuingiza taarifa zozote za kibinafsi (nywila, kadi za mkopo, anwani, nk) ndani ya mtandao.