Adobe Flash modi ya ulinzi kwenye Firefox

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Makala hii inatumika kwa Windows Vista/7/8 au zaidi.
Muhimu: Makala hii haina yanahusu 64-bit Firefox kwa mifumo ya uendeshaji Windows 64-bit. Mozilla ina kipengele cha usalama. "NPAPI plugin sandbox", ambayo imewezeshwa kwa msungi katika Windows 64-bit Firefox.

Flash protected mode ni kipengele cha usalama kwa Firefox ambayo inatekelezwa na Adobe kwa mifumo ya uendeshaji Windows (Windows Vista/7/8 au zaidi). Kipengele hiki kimezeshwa kwa msingi, ili kufanya kuwa vigumu kwa washambuliaji kupata kompyuta yako.

Flash protected mode inaweza kusababisha matatizo ya utendaji wa Flash katika Firefox, kama vile kujiburuta kuendelea au plugin kuacha kazi. Hii ni kweli hasa kwa watumiaji vifaa vya Windows touchscreen na kwa watumiaji ambao hutumia zana za upatikanaji.

Kulemaza Flash protected mode, angalia maelekezo ya Adobe chini ya kichwa "Last Resort": Adobe Forums: How do I troubleshoot Flash Player's protected mode for Firefox?

Unaweza kuzima Flash protected mode kwa kufuata hatua hizi:

  1. Katika baa ya anwani, andika 'about:config' kisha bofya Enter Return .

    • Ukurasa wa onyo la About:config "Hii inaweza haribu udhamini yako!" inaweza kuonekana. Bonyeza kifungo {button I'll be careful, I promise!, Kuendelea kwa ukurasa wa about:config.
  2. Tafuta dom.ipc.plugins.flash.disable-protected-mode kwenya orodha ya mapendeleo.
  3. Bofya mara mbili kwenye upendeleo ili kugeuza thamani yake kutoka false hadi true.
  4. Bonyeza kifungo cha menyu New Fx Menu kisha bonyeza Exit Close 29 funga Firefox kwa pamoja ili badiliko hili litokee.
  5. Anzisha tena Firefox.

  1. Bonyeza kifungo cha menyu The image "new fx menu" does not exist., kisha Add-ons.
  2. Bonyeza kwenye paneli ya Plugins kisha chagua Options karibu na Shockwave Flash.
  3. Toa maki kando ya Enable Adobe Flash protected mode.
    flash protected mode fx38
  4. Bonyeza kifungo cha menyu New Fx Menu kisha bonyeza ExitQuit Close 29 funga Firefox kwa pamoja ili badiliko hili litokee.

Ukianzisha Firefox, Flash protected mode itakua imelemazwa.

Tahadhari: Kulemaza Flash protected mode hufanya kompyuta yako katika mazingira mabaya ya uharibifu wa usalama. Usilemaze kipengele hiki isipokuwa kama unaathirika na utendaji wa Flash.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More