Ripoti ya Afya ya Firefox - elewa utendaji kazi ya browser yako ya Android

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Ripti ya afya ya firefox (FHR) hutoa ufahamu na habari kuhusu utendaji kazi ya browser yako. Kwa kuchambua utendaji habari browser yako, FHR ina uwezo wa kutoa kwa vidokezo muhimu kwamba itasaidia kupata bora kutoka Firefox. Kwa habari zaidi kuhusu jinsi sisi kushughulikia taarifa yako, see our privacy policy.

Jinsi ya kuona Ripoti ya Afya ya Firefox yako

  1. Bonyeza Menu button (chini ya skirini kwa vifaa vingine au kona ya juu kulia wa browser) kisha Settings (unawezahitaji kubomba More kwanza) .
  2. Bonyeza Data choices.
  3. Bonyeza kiuongo cha View my Health Report.
  1. Bonyeza Menu button (chini ya skirini kwa vifaa vingine au kona ya juu kulia wa browser) kisha Settings (unawezahitaji kubomba More kwanza) .
  2. Bonyeza Mozilla.
  3. Katika kifungu cha uchaguzi data bomba kwenye View my Health Report .

Jinsi ya kuwezesha au kulemaza mgawanyo wa data

Mgawanyo wa data imewezeshwa kwa msingi lakini unaweza daima kuwezesha au kulemaza:

  1. Bonyeza Menu kitufe (chini ya skirini kwa vifaa vingine au kona ya juu kulia wa browser) kisha Settings (unawezahitaji kubomba More kwanza) .
  2. Bonyeza Data choices.
  3. Tiki au toa tiki sanduku karibu na Firefox Health Report

Mgawanyo wa data imewezeshwa kwa msingi lakini unaweza daima kuwezesha au kulemaza:

  1. Bonyeza Menu kitufe (chini ya skirini kwa vifaa vingine au kona ya juu kulia wa browser) kisha Settings (unawezahitaji kubomba More kwanza) .
  2. Bonyeza Mozilla.
  3. Tiki au toa tiki sanduku karibu na Firefox Health Report

Wakati unapolemaza mgawanyo wa data, Firefox itakoma kutuma habari kuhusu browser yako kwa seva za Mozilla. Firefox itatuma ombi kwa watumishi Mozilla kufuta habari hapo awali iliyowasilishwa. Ombi hilo litachakatwa mara moja baada ya kupokelewa kikamilifu Iwapo browser hanipokei majibu kwamba ombi imefanikiwa baada ya kuchakatwa (kutokana na ukosefu wa muunganisho, kwa mfano), browser itaendelea kutuma maombi ya kufuta mara kwa mara hadi hapo mafanikio kamilifu yatapokelewa

Usipolemaza mgawanyo wa data, lakini browser haionekani tena kutuma data (kutokana na kuwa imesakinushwa au haitumiki tena ), data ya awali aliyotumwa na browser yako itafutwa baada ya siku 180.

Hata kama umechagua kutochangia data yako na Mozilla, bado utakuwa na uwezo wa kuona taarifa kuhusu browser yako wakati una kwenda kwenye ukurasa wa Ripoti ya Afya , na unaweza kuona kulinganisha data ya kutoka browsers nyingine ambazo wanashiriki data ya zao. data ya kulinganisha hautakuwa kuzingatia takwimu kutoka browser yako tangu haikuwa pamoja na Mozilla.

Nini takwimu hutolewa kwa Mozilla?

Sehemu ya Metriki muhimu kwenya ripoti ya afya ya ina data zote ambayo hugawanywa pamoja na Mozilla. Kuangalia takwimu halisi kuwa pamoja na Mozilla, bomba kwenye angalia taarifa ambazo sisi hurekodi kiungo chini ya sehemu ya Metriki muhimu .

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More