Kuwawezesha Wi-Fi juu ya Firefox kwa Android

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Makala haya yanatumika kwa toleo la karibuni la Firefox kwa Android. tafadhali update to the latest version of Firefox for Android kwanza kufurahia vipengele hivi.

Baadhi ya matatizo ya ukurasa kupakiwa inaweza kusuluhishwa na kurekebisha makosa ya kuandika, kuhakikisha kuwa Wi-Fi imewashwa, au kwa kifupi kuweka upya ukurasa. Toleo jipya la Firefox kwa Android inafanya kuwa rahisi kufanya mambo haya yote moja kwa moja kwenye ukurasa nje ya mkondo.

Utaona hii skrini wakati ukurasa wa mtandao inashindwa kupakia:

page not found android

Tekeleza hatua zifuatazo mpaka utakapoweza kupakia ukurasa:

  1. Kusahihisha makosa yoyote iwezekanavyo katika anwani unayojaribu kutembelea. Dokezo: Unaweza pia kufanya upekuzi hapa kwa kutumia injini ya utafutaji yako ya msingi.
    offline search android
  2. Je, unganisho lako la Wi-Fi imewashwa? Unaweza kuwawezesha moja kwa moja kwenye Firefox kwa kugonga litufe cha Enable Wi-Fi:
    enable wifi android
    Kumbuka: Ukurasa itawekwa upya moja kwa moja baada ya Wi-Fi imewezeshwa.
  3. Kama hatua ya juu haijatatua tatizo, seva ya tovuti inaweza kuwa inakabiliwa na matatizo. Ngoja dakika chache na bomba Jaribu tena ili kuona kama ukurasa ikirudi tena.
Kama ukurasa bado inashindwa kupakia baada ya hatua hizi, wasiliana na mtoa huduma wako au mmiliki wa tovuti.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More